Aug 24, 2013

Umesikia ujio wa "Music Messiah" kutoka kwa mkongwe wa E.C.T


Baada ya muda mreeeeefu sana akiwa kimya, wiki ijayo kutakuwa na ujio mpya wa King Crazy GK

"naitwa Crazy GK hapa, kutokea East Coast team, wiki ijayo ndio the return ya the music messiah, mungu wa muziki, hahahahaaaaa ndani ya xxl, wiki ijayo au sioooo.

No comments:

Post a Comment