Aug 24, 2013

Baada ya Ney Wa Mitego kusema kuwa Kigoma All Stars imekufa, Mwasiti nae asema yake



Leo hii msanii na muhasibu wa Kigoma All Stars,  Mwasit Almasi a.ka Mwasiti amezungumza juu ya tuhuma za rapper Ney wa mitego kupitia wimbo wake "nasema nao" kuwa Kigoma All Stars imekufa.
mwasiti amesema

Umesikia ujio wa "Music Messiah" kutoka kwa mkongwe wa E.C.T


Baada ya muda mreeeeefu sana akiwa kimya, wiki ijayo kutakuwa na ujio mpya wa King Crazy GK

Baada ya Ney wa Mitego kumchana, Madam Rita ampa big up na kumkaribisha ku-perform kwenye fainali za BSS


Madam Rita: Usiruhusu mtu akuamulie maisha yako!

Kupitia U Heard na Gossip Cop 

Friday, August 23, 2013 madam Rita aliongea juu ya tetesi kuwa yupo katika mipango ya kumfungulia mashtaka Ney na kumdai amlipe shilingi millioni 500 pamoja na ku-record album nzima kwa kumsafisha jina lake baada ya kumchafulia.


Jul 29, 2013

MSHIRIKI WA TANZANIA (NANDO ) ATIMULIWA BIG BROTHER BAADA YA KUGOMBANA NA MSHIRIKI MWENZAKE


Mshiriki wa Tanzania katika shindano la bba, Nando  ametimuliwa  katika  shindano hilo baada  ya  kugombana  na  mshiriki  mwenzake  Elikem wa Ghana  siku  ya  ijuumaa  ya  tarehe 26/7/2013...
Mara tu baada ya Sulu na Annabel kutolewa kwa kura za watazamaji, Big Brother aliwaita washiriki pamoja katika kikao cha dharura kufuatia ugomvi uliotokea kati ya Nando na Elikem.

Jul 25, 2013

MAMA WA MAREHEMU SHAROMILIONEA ALIA KUDHURUMIWA MALI ZA MWANAYE...!!

 



Mama mzazi wa Marehem msanii wa bongo movie (comedy) na Bongo Flava Sharomilionea amefunguka kuwa mpaka leo anashangaa hajakabidhiwa baadhi ya vitu vya thamani alivyokua akimiliki mtoto wake kipindi yuko hai, na tayari imeshapita miezi 8 tangu Sharomilionea afariki kutokana na Ajali ya Gari aliyoipata mwaka jana mwezi wa kumi na  moja mita chache kabla hajafika kijijini kwa Lusungu Muheza Tanga,