Aug 24, 2013

Baada ya Ney Wa Mitego kusema kuwa Kigoma All Stars imekufa, Mwasiti nae asema yake



Leo hii msanii na muhasibu wa Kigoma All Stars,  Mwasit Almasi a.ka Mwasiti amezungumza juu ya tuhuma za rapper Ney wa mitego kupitia wimbo wake "nasema nao" kuwa Kigoma All Stars imekufa.
mwasiti amesema

Umesikia ujio wa "Music Messiah" kutoka kwa mkongwe wa E.C.T


Baada ya muda mreeeeefu sana akiwa kimya, wiki ijayo kutakuwa na ujio mpya wa King Crazy GK

Baada ya Ney wa Mitego kumchana, Madam Rita ampa big up na kumkaribisha ku-perform kwenye fainali za BSS


Madam Rita: Usiruhusu mtu akuamulie maisha yako!

Kupitia U Heard na Gossip Cop 

Friday, August 23, 2013 madam Rita aliongea juu ya tetesi kuwa yupo katika mipango ya kumfungulia mashtaka Ney na kumdai amlipe shilingi millioni 500 pamoja na ku-record album nzima kwa kumsafisha jina lake baada ya kumchafulia.