Jul 29, 2013
Jul 25, 2013
MAMA WA MAREHEMU SHAROMILIONEA ALIA KUDHURUMIWA MALI ZA MWANAYE...!!
Mama mzazi wa Marehem msanii wa bongo movie (comedy) na Bongo Flava Sharomilionea amefunguka kuwa mpaka leo anashangaa hajakabidhiwa baadhi ya vitu vya thamani alivyokua akimiliki mtoto wake kipindi yuko hai, na tayari imeshapita miezi 8 tangu Sharomilionea afariki kutokana na Ajali ya Gari aliyoipata mwaka jana mwezi wa kumi na moja mita chache kabla hajafika kijijini kwa Lusungu Muheza Tanga,
Nywele za Beyonce zang'ang'ania kwenye feni wakati wa show ya Mrs Carter World Tour
Star kutoka Hollywood, Beyonce (31) alibaki akiwa amekaa kwenye stage huku akiendelea kuimba licha ya nywele zake kujiviringisha kwenye feni lililokuwa juu ya stage alipokuwa aki-perform (Mrs Carter World Tour) July,22 Montreal, Canada. Janga hilo lilimkuta alipokuwa akiimba wimbo wake "Hello", ndipo wasaidizi wake pamoja na baunsa walisogea kumsaidia ambapo walifanikiwa kumtoa baada ya kuzikata na mkasi.
Licha ya tukio hilo kumtokea Beyonce aliandika utani juu ya kilichomtokea kupitia mtandao wa Instagram.
"Gravity
cant begiiiiiiiin to pull me out of the fan again. I felt my hair was
yankiiiiiiiin, From the fan that's always hatiiiiiiiin. Virgin Remy
[and] Malaysiiiiiiaaaaaan haaaaaaaaa!! I got snatched "2 snaps."
Goodnight all, B,"
Jul 23, 2013
WEMA JELA INAMUITA!
Kuna kila dalili kwamba mrembo anayetamba kwenye filamu za Kibongo,
Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ au Madam jela inamwita na
anatakiwa kufanya maombi ili kukwepa kifungo maishani mwake.
Jul 22, 2013
LINAH AKANUSHA MADAI YA KUBAKWA USIKU BAADA YA KULEWA
Taarifa hizo zimeanza kusambazwa leo mchana baada ya akaunti ya Facebook inayoonekana kuwa ya rapper Kalapina yenye jina ‘KalApina Kikosi Cha Mizinga’ kuandika:
Jul 20, 2013
MSANII MR. BOMBA ALIYETAMBA SANA KUPITIA I.T.V, AFARIKI DUNIA
Msanii wa zamani wa Kundi la Kaole Sanaa. Mr Bomba amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na kansa ya uvimbe wa kwenye ini. Msiba utakuwa Buguruni Malapa jijini Dar es salaam nyumbani kwa marehemu alipokuwa akiishi. Mwili utaagwa siku ya Jumatatu nyumbani kwake Buguruni na kusafirishwa kijijini kwao Mpwapwa Dodoma siku hiyo ya Jumatatu kwa mazishi.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALAPEMA PEPONI....AMEN!
Wastara Juma, alalamikia marafiki wasaliti wa marehemu mumewe.

Sura ya mauzo kunako gemu la filamu za Kibongo, Wastara Juma amefunguka kuwa wanaume wengi waliokuwa wakimsaidia wakati mumewe Juma Kilowoko ‘Sajuki’ akiwa mgonjwa wanamgeuka na sasa wanamtaka kimapenzi.
Jul 17, 2013
PREZZO AGOMA KUMUOMBA MSAMAHA DIAMOND KWENYE TWITTER
Jul 14, 2013
Jay-Z's new Album Cover
![]() |
Jay-Z's new album, Magna Carta Holy Grail |
Jay-Z Talks Fatherhood, "Yeezus," Miley Cyrus And "Watch The Throne 2" On Hot 97
![]() |
After taking over Twitter, Jay-Z took to the airwaves on The Angie Martinez Show to discuss fatherhood, his thoughts on Kanye West's Yeezus and his admiration for Miley Cyrus, among other items. |
Jul 12, 2013
Gerry wa Rhymes - Lovely (Official Music Video)
Angalia sasa kazi saafi ya kijana Gerry wa Rhymes inayoitwa Lovely, daah eeeh sasa na sis tunawezaaaa! chek it out..
Izzo Bizness ft Barnaba & Shaa - Love Me(Official Video)
Check out that new Video from ma Boy Izzo Bizness Beby, design pale kati kasimama na mtu mzima Barnaba Bwoy na Mwanadada Shaa wanakwambia Love me.Ooo! Come Ooon yo already know what it isSS...
Subscribe to:
Posts (Atom)