Leo hii msanii na muhasibu wa Kigoma All Stars, Mwasit Almasi a.ka Mwasiti amezungumza juu ya tuhuma za rapper Ney wa mitego kupitia wimbo wake "nasema nao" kuwa Kigoma All Stars imekufa.
mwasiti amesema
Friday, August 23, 2013 madam Rita aliongea juu ya tetesi kuwa yupo katika mipango ya kumfungulia mashtaka Ney na kumdai amlipe shilingi millioni 500 pamoja na ku-record album nzima kwa kumsafisha jina lake baada ya kumchafulia.
Mshiriki
wa Tanzania katika shindano la bba, Nando ametimuliwa katika
shindano hilo baada ya kugombana na mshiriki mwenzake Elikem wa
Ghana siku ya ijuumaa ya tarehe 26/7/2013...
Mara tu baada ya Sulu na Annabel kutolewa kwa kura za watazamaji,
Big Brother aliwaita washiriki pamoja katika kikao cha dharura kufuatia
ugomvi uliotokea kati ya Nando na Elikem.
Mama
mzazi wa Marehem msanii wa bongo movie (comedy) na Bongo Flava
Sharomilionea amefunguka kuwa mpaka leo anashangaa hajakabidhiwa baadhi
ya vitu vya thamani alivyokua akimiliki mtoto wake kipindi yuko hai, na
tayari imeshapita miezi 8 tangu Sharomilionea afariki kutokana na Ajali
ya Gari aliyoipata mwaka jana mwezi wa kumi na moja mita chache kabla
hajafika kijijini kwa Lusungu Muheza Tanga,