Leo hii msanii na muhasibu wa Kigoma All Stars, Mwasit Almasi a.ka Mwasiti amezungumza juu ya tuhuma za rapper Ney wa mitego kupitia wimbo wake "nasema nao" kuwa Kigoma All Stars imekufa.
mwasiti amesema
Friday, August 23, 2013 madam Rita aliongea juu ya tetesi kuwa yupo katika mipango ya kumfungulia mashtaka Ney na kumdai amlipe shilingi millioni 500 pamoja na ku-record album nzima kwa kumsafisha jina lake baada ya kumchafulia.